click here

click here

Msitu wa Mwal Nyerere Butiama kuanza kusimamiwa na Serikali

Msitu wa Mwal Nyerere Butiama kuanza kusimamiwa na Serikali

Ofisi ya Waziri Mkuu, imetangaza kuanza  kusimamia na kuutunza msitu wa baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, uliopo Butiama mkoa wa Mara, kama sehemu ya kumuenzi na kuendelea kutunza mazingira.
 
aliyasema hayo  Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan jana alipokuwa  katika kongamano la mazingira lililofanyika  wilayani humo kama sehemu ya maadhimisho ya Siku ya mazingira duniani, yaliyofanyika kitaifa, wilayani Butiama.
“Sisi tutauangalia msitu huu, lakini tunaomba ushirikiano wa wakazi wa Butiama, tukiwaomba wiki hii mfanye kitu hiki, mtusaidie na tushirikiane,” alisema  Makamu wa Rais

No comments

Powered by Blogger.