click here

click here

Jeniffer Mgendi atoa rai kwa mashabiki wake

Jeniffer Mgendi atoa rai kwa mashabiki wake

Na Nyamarasa Mgaya

Mwimbaji maarufu wa nyimbo za Injili hapa Nchini Tanzania, Jeniffer Mgendi amewaomba mashabiki wake na watanzania kwa ujumla kumtegemea Mungu kwani yeye ndiye ajuae maisha ya mtu.

Katika ukarasa wake wa Facebook Mgendi ameandika "Naomba tumtegemee Mungu kwani yeye ndiye ajuae maisha ya mtu na pia ndiye atoae uzima na afya njema" aliandika.

Jenifer Mgendi alianza kupata umaarufu baada ya kutoa albamu yake ya "mchimba mashimo" ambayo ilimtangaza na kumpatia mashabiki wengi, mbali na uimbaji pia  mgendi amewahi kucheza filamu mbalimbali ikiwemo ya 'Chai moto' pamoja na 'Teke la mama'.

No comments

Powered by Blogger.