Uhuru Kenyatta Pao Sana..Asema Ruksa Kuandamana wa Wasioridhishwa na Matokeo..Aamuru Polisi Wasizuie
HABARI: Rais Mteule wa Kenya, Uhuru Kenyata asema wananchi wanaruhusiwa
kuandamana kwani ni haki yao kikatiba...amewaamuru Jeshi la Polisi
kuacha kutumia nguvu kupita kiasa...ila Serikali haitavumilia
watakaoharibu mali za umma.
Post a Comment