Wolper apata ugonjwa wa wanaume.
Wolper apata ugonjwa wa wanaume.

Akizungumza na Star Mix, Wolper alisema, kutokana na
upendo wa kweli anaojitahidi kumuonyesha mwanaume anapokuwanae kwenye
uhusiano na kujikuta akiambulia maumivu, ameona bora aweke kando masuala
ya mapenzi na kuwa`bize’ na kazi zake.
“Sina mpenzi kwa sasa nimeona
bora niweke pembeni haya mambo nifanye kazi zangu tu ndo muhimu,
nikipenda hawa wanaonisumbua `now’ nitapenda na nitakuwa kimapenzi,
lakini bado wote wanaonisumbua hakuna aliyefaulu kunishawishi niwe
naye,” alisema Wolper
Post a Comment