Uteuzi wa Mghwira umewafanya viongozi wa ACT Wajiunge CHADEMA.
Viongozi wa Chama Cha Democrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Kigoma, wamewapokea Viongozi na
wanachama wa ACT wazalendo walioamua kujitoa katika chama chao, baada ya
kuchukizwa na kitendo cha Mwenyekiti wao wa Taifa na viongozi wao wa
Kitaifa kukubali uteuzi wa aliyekuwa mwenyekiti wao Anna Mghwira kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro na kutekeleza
ilani ya CCM.
Viongozi hao wamesema kitendo hicho ni kukisaliti chama
Miongoni
mwa wanachama hao kuna wengine wemeamua kuachana kabisa na siasa huku
wengine wakiamia katika Chama Cha Democrasia na Maendeleo CHADEMA.
Post a Comment