Taarifa kamili kuhusu kifo cha Mzee Ndesamburo
Taarifa kamili kuhusu kifo cha Mzee Ndesamburo
Wakati uchunguzi wa kifo cha Hayati Philemon Ndesamburo ukiendelea,taarifa za awali zinadokeza kuwa moyo wake ulikuwa na matatizo makubwa.
Kiongozi wa wachunguzi wa kitabibu,Prof. Elisante Masenga amesema kuwa
taarifa hiyo ni ya awali na taarifa kamili itatolewa hapo baadaye baada
ya uchunguzi kukamilika.
R. I. P. Hayati Ndesamburo!
Chanzo: ITV Habari
Post a Comment