STORYGRAM1:Alikiba aombewa kolabo kwa Davido
Alikiba aombewa kolabo kwa Davido

Shabiki mmoja wa Alikiba ameamua kujitosa kumuombea kolabo msanii huyo kwa hitmaker wa ‘Fall’, Davido kutoka Nigeria.
Shabiki huyo ambaye anatumia jina la peter_allyson kwenye mtandao wa Instagram, amecomment kwenye picha ya Davido kwa kuandika,
“Plz plz broe do collaboration with alikiba plz plz plz plz plz plz plz plz is me tz boy.”
Post a Comment