STORYGRAM1: Polepole amefunguka kuhusu sakata la Makenikia, na kusema vita hairudi nyuma.
Polepole amefunguka kuhusu sakata la Makenikia, na kusema vita hairudi nyuma.

Amewataka Watanzania kumuonga Mkono Rais John Magufului Kwenye vita ya Uchumi aliyoianzisha ili Wananchi kunufaika na rasimali za nchi.
Post a Comment