click here

click here

Msikiti Wagoma Kuuzika Mwili wa Kijana Aliyefanya Shambulio la Manchester na Kuuwa 22..

Msikiti Wagoma Kuuzika Mwili wa Kijana Aliyefanya Shambulio la Manchester na Kuuwa 22..!!!!

Msikiti Mkubwa katika Jiji la Manchester wagoma kuuzika na kujihusisha na mazishi ya kijana aliyefanya shambulio lililouwa watu 22 na kujeruhi wengine wengi. Mpaka sasa taarifa zinasema mwili wa kijana huyo bado upo katika chumba cha kuhifadhia maiti.
Maafisa wanaohusika mazishi pia wamekataa kuuzika mwili wa kijana Salman Abedi ikiwa ni kuepusha mwili wa kijana huyo kuzikwa katika ardhi ya jiji la Manchester.

No comments

Powered by Blogger.