simba kimataifa zaidi
Simba Rasmi wajipanga Kimataifa zaidi
Ifahamike kuwa Kwa ushindi huu walioupata Simba imejinyakulia milioni 50 na kujipatia nafasi ya kucheza michuano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika kwa mara ya kwanza tangu msimu wa mwaka 2012/13, huku mshindi wa pili akiambulia patupu zaidi ya medali

Post a Comment