click here

click here

Mabomu ya Kujitoa Muhanga ya Islamic State..!!!yaleta hofu kwenye mechi ya Juve na Madrid

Mabomu ya Kujitoa Muhanga ya Islamic State..!!!yaleta hofu kwenye mechi ya Juve na Madrid

 Paa la Uwanja wa Taifa wa Wales litafungwa kwa sababu za kiusalama wakati wa fainali ya Ligi ya Mabingwa itakayofanyika mjini Cardiff. makadilia ya mashabiki waliofika ni 170,000 wanategemewa kusafiri na kushudia mechi hiyo dhidi ya Real Madrid hapo Juni 3.
inasemakana kuwa itakuwa ni mechi ya kwanza ya ligi ya mabingwa kucheza huku paa lake likiwa lifunga na hii mi kufuatia na hofu yao dhidi ya kinachosemekana ni Mabomu ya Islam state
Shirikisho la Soka la Wales (FAW) limesema usalama ndiyo kipaombele chao cha kwanza.
Paa litafungwa kwa sababu ya kuhofia mashambulia ya drone kwa kile kinachotokea kunapofanyika mechi kubwa duniani.

No comments

Powered by Blogger.