Dunia Nzima Itamuiga Rais Magufuli..Hadi Trump Ipo Siku Atamuiga Tu.
Dunia Nzima Itamuiga Rais Magufuli..Hadi Trump Ipo Siku Atamuiga Tu.
Peter Serukamba ambaye ni Mbunge wa Kigoma Kaskazini kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), kusema alilofanya Rais Magufuli kuzuia mchanga litakwenda kuigwa duniani
kote na kuleta mapinduzi katika sekta za
uchimbaji madin
Serukamba alisema hayo jana bungeni na kusema ukiona mpinzani wako
anakupinga katika jambo lolote lile basi ujue umefanya jambo ambalo ni
sahihi ila ukiona mpinzani wako anakusifu ujue umefanya jambo baya,
hivyo kwa kuwa wapinzani wanalalamika basi Rais amepatia katika maamuzi
yake, na anatakiwa kupewa ushirikiano wa wananchi na wabunge.

Post a Comment