click here

click here

Mtayarishaji wa ngoma mpya ya Msanii Alikiba, kutoka 'Combination sound' Man Water amedai kuwa kutokana na 'Stock' ya nyimbo alizomtengenezea msanii huyo, wimbo huo ni ngoma ya kawaida na iliyopoa kuliko zote ila kutokana na mapokeo ya mashabiki yamewafanya hata yeye na Kiba kuwa mashabiki wa ngoma hiyo.

No comments

Powered by Blogger.