Ukweli Mchungu..Sakata la Kibiti Mwigulu Nchemba ni Wakati wa Kujitafakari na Kujiuzulu Ateuliwe Adadi Rajab..!!!
Ukweli Mchungu..Sakata la Kibiti Mwigulu Nchemba ni Wakati wa Kujitafakari na Kujiuzulu Ateuliwe Adadi Rajab..!!!

Watanzania wengi tu tumechoshwa na Mauaji kibiti.
Hii wizara inahitaji wataalam wa mambo ya ulinzi na wabobezi kama Adadi
Rajabu. Ushauri wangu Mwigulu sio strategic katika hili yeye ni mchumi ,
haitaji eleimu ya Chuo kikuu kuona kuwa kakwama 100%; Tunaweza sema
tatizo lilikuwa IGP , katolewa IGP bado wembe ni ule ule. niwakati wa
Mwigulu kuchukua maamuzi magumu ya kuachia ngazi ; Kama Ally Hassani
Mwinyi , kule Shinyanga.
Si wa kwanza . Kaenda mpaka Kibiti kafanya Mikutano , Karusha picha za watuhumiwa na Donge nono . Bado Fail
Chanzo JF
Post a Comment