DAKTARI FEKI AKAMATWA MUHIMBILI. Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Abdallah Juma anayedhaniwa kuwa daktari feki amekamatwa leo katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
Post a Comment