
Takukuru inawashikilia Singh Sethi na Rugemalila(Waliotajwa kwenye kashifa ya Escrow ) kwa tuhuma za uhujumu uchumi
-Wanatarajiwa kufikishwa mahakamani
Takukuru imesema inawafikisha mahakamani watuhumiwa, James Rugemarila na Harbinder Sethi kwa makosa ya uhujumu uchumi
Post a Comment