STORYGRAM1: Povu Hashim Rungwe kuhusiana na uteuzi wa rais
Povu Hashim Rungwe kuhusiana na uteuzi wa rais

aliyekuwa Mgombea wa urais mwaka 2015, kupitia chama cha CHAUMA, Ndugu Hashimu Rungwe amedai kuwa analitakiwa kufanya Rais Magufuli ni kuchague wote na kwamba na achague na wabunge toka upinzani na sio kama njia inayofanywa sasa ya kuteua tu
wapinzani walioandaliwa na vyama vyao.
Rais asipewe madaraka ya kuchagua kila mtu apendavyo yeye. Na katiba ya nchi inatakiwa kubadilishwa na kuwekwa sawa.
Post a Comment