storygram1: Ndugai Ashangazwa na Bajeti ya Serikali ya Mwaka Huu..Amnyooshea Kidole Waziri Mpango
Ndugai Ashangazwa na Bajeti ya Serikali ya Mwaka Huu..Amnyooshea Kidole Waziri Mpango..!!!
Spika wa Bunge, Job Ndugai ameonyesha kushangazwa na bajeti
iliyowasilishwa bungeni leo na Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip
Mpango.
“Kwa kweli hii haijawahi kutokea, ni kwa miaka mingi hatujawahi kuona bajeti nzuri kama hii.” amesema Ndugai.
Ndugai ameyasema hayo leo (Alhamisi) mara baada ya Waziri Mpango
kuhitimisha kuwasilisha bajeti kuu ya mwaka 2017/18 huku asilimia kubwa
ya wabunge wakimpigia makofi Waziri huyo.
Ndugai ameisifia bajeti hiyo akisema kwa miaka mingi ya uwasilishwaji wa
bajeti za Serikali bungeni haijawahi kutokea wabunge wakaipokea vizuri
kiasi hicho.
chanzo na udakuspecially

Post a Comment