storygram1: Mghwira Aenda Kuhani Familia ya Marehemu Ndesamburo
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mgwhira, ameenda kuhani
msiba wa aliyekuwa mwenyekiti wa Chadema, mkoa huo, marehemu Philemon
Ndesamburo.
aidha Mghwira ametoa rambirambi kwa familia ya Ndesamburo, aliyewahi kuwa mbunge wa Moshi Mjini kwa awamu tatu mfululizo.
mpaka sasa ni siku mbili tu baada ya kuapishwa
na Rais, Ikulu jijini Dar es Salaam.
ikumbukwe kuwa Mghwira aliyeteuliwa hivi karibuni na Rais John Magufuli na kwa sasa yupo
katika eneo lake jipya la kazi,

Post a Comment