storygram1: Maneno ya Mtatiro kupitia ukurasa wake wa Facebook Jana Juni 7.
Maneno ya Mtatiro kupitia ukurasa wake wa Facebook Jana Juni 7.
"Na kesho tunaendelea na ziara, tunakutana na Mkuu wa Mkoa wa Pwani na RPC wa Pwani pia. Mimi natimiza wajibu wangu na wale wanaosubiri ninunuliwe watasubiri miaka 100. Sina bei na sikuwahi kuwa na bei, na hata hao wanaonunua viongozi wa vyama vya upinzani wanajua sinunuliki na nadhani walishani DELETE kwenye vitabu vya wanunuliwaji wa siku zijazo. Watu wanaonifahamu vizuri wanajua SINA BEI! Kwa hiyo niacheni nitimize majukumu yangu."
Maneno ya Mtatiro kupitia ukurasa wake wa Facebook Jana Juni 7,
Post a Comment