SORYGRAM1: Utupu wa Amber Rose umefutwa Instagram.
Utupu wa Amber Rose umefutwa Instagram.

Utupu ya mwanamitindo Amber Rose, hatimaye umefutwa kwenye Mtandao wa kijamii wa Instagram wenye watumiaji zaidi ya milioni 500
kutokana na ukosefu wa maadili uliokuwepo kwenye picha hiyo baada ya kupakiwa na mwanadada huyu katika mtandao wa Instagram,hatimaye imefutwa. ama ilivyo ada kwa mtandao huo kuondoa picha zinazosemekana au kuripotiwa kuwa hazina maadili
Baada ya kufutwa picha hiyo ya utupu Amber ameandika ujumbe mwingine kwenye mtandao huo
unaoonyesha masikitiko yake baada ya kufutiwa picha hiyo huku mashabiki
wakimuunga mkono kwa kitendo hicho.
Post a Comment