Serikali yashauriwa izuie simu ya Prof Muhongo, Chenge, Tibaijuka
Serikali yashauriwa izuie simu ya Prof Muhongo, Chenge, Tibaijuka

Akizungumza na Muungwana Blog Rais wa Jumuiya hiyo Abdul Nondo amewataja viongozi hao wa wa Umma ni pamoja na Professa Anna Tibaijuka , Andrew Chenge , Sospiter Muhongo na wengine wanatakiwa kichunguzwa na kushikiliwa Mawasilino yao kisha kupelekwa Mahakamani kwa vigogo hao
chanzo udakuspecial
Post a Comment