click here

click here

Majibu ya Rihanna kwa wanaomuita kibonge

Majibu ya Rihanna kwa wanaomuita kibonge


Msanii anayefanya vizuri kwenye chat ya muziki nchini Marekani, Rihanna amewajibu watu wanao mkejeli kwa kumuita kibonge nyanya.


  Hivi karibuni katika mitandao ya kijamii kuwa na msambazo wa picha za mwanamuziki huyo  zikimuonyesha jinsi alivyonenepa na huku wengine wakihisi ni mjamzito na wengine wakimuandikia maneno ya kashfa..

Hata hivyo Rihanna ameamua kukata mzizi wa fitina na kuamua kuwajibu kupitia mtandao wa Instagram, kwa kupost picha ya Gucci Mane enzi zake alivyokuwa mnene na ile ya sasa hivi inayomuonyesha amepungua zaidi na kuweka picha ya mdoli akiwa analia.

No comments

Powered by Blogger.