Ushahidi Huu Hapa kuhusiana na kifo za Ivan kumbe Zari anahusika
Ushahidi Huu Hapa kuhusiana na kifo za Ivan kumbe Zari wa Diamond ana husika..!!!
Nasema haya kutokana na sababu nitakazo zihainisha hapa chini ila ukweli
kifo cha Ivan Semwanga chanzo chake nimapenzi sababu kuu ni Zari!
Ukiangalia tangu waachane na Zari Ivan hakuikubali ile hali na alijitahidi kumbembeleza Zari ila Zari hakutaka!
Na Ivan alitegemea Zari angerudi waendelee na maisha! ila baada ya kuzaa
na Diamond Ivan alizidi kuishiwa tumaini la kuwa na Zari kwani
alimpenda mno!!
Katika hizi picha alikuwa akituma ujumbe kwa Zari! Rudi mama kama pesa
ipo huku!pia ukumbuke Diamond alipost kuwa amenunua Hammer kesho naye
aaapost ana Hammer3 hii yote nikuwa alimpenda sana Zari!
Pia katika kuachana Ivan hakuwahi kupost picha yoyote akiwa na mwanamke!
aliamini hakuna mwanamke wakumchallenge Zari hivyo hakuona sababu
yakujidhalilisha kwani alijua Zari ni mzuri sana, hivyo hakaona ajipe
muda!na alitamani arudi ila maamuzi haya, hayakuwa upande wake!! kwani
Zari alishamchoka!. Hivyo umauti huo umetokana na msongo mkubwa wa
mawazo!. Nina hakika Mungu akimfungulia Zari kutafakari juu ya kifo cha
Ivan atatambua yeye ndiye aliyesababisha!
Mara nyingi tukiwa katika mahusiano ya muda mrefu hutokea tunachokana na
kutamani yavunjike hata kama tunawatoto!kutokana na maudhi madogo
madogo!ila ujidanganya nakusema bora tuachane ila wakiondoka! baada ya
wiki utamani kuwarudisha ila mara nyingi uogopa watu watanionaje!!mbaya
wakienda ambapo hatuwezi kuwaona tena kama kufariki basi hapo ndipo huwa
tunapatwa msongo wa mawazo!! na hasa kama wametuachia watoto!.
Taadhari ikikutokea usijixhanganye katika pombe tumia muda kukaa na
familia na kuwa busy na watoto baada ya muda tafuta mwenza japo atakuwa
halingani na yule na nivigumu kumpata kama yule!na mhalalishe mbele ya
familia yako ili upate muda wakukaa naye ndani kuliko kutumia muda mkiwa
hotelini!maana ukirudi kitandani kwako hali itaanza upya!
Hivyo nirudi katika mada kifo cha Ivan Semwanga kimesababishwa na msongo wa mawazo ya mapenzi juu ya Zari.

Post a Comment