click here

click here

Kauli ya Diamond kuhusu kumzika Ivan


Kauli ya Diamond kuhusu kumzika Ivan





Mkali wa bongo fleva nchini Diamond Platinam amekili na kusema kwamba lazima ataenda kwenye mazishi ya aliyekuwa mzazi mwenza wa zari
Nguli huyu alifunguka hayo alipokuwa akizungumza na  wanafunzi wa Chuo kikuu cha Nairobi, katika kipindi cha The Trend kilichokuwa kinaruka moja kwa moja kupitia runinga ya NTV.
“Kiukweli umekuwa wakati mgumu na mpaka sasa umekuwa wakati mgumu, nilikuwa nipo booked muda kidogo kuhusiana na msiba umetokea, sasa kucancel to ghafla show ya watu unajua inawezekana ukapata twasira tofauti, wengine wakachukulia tofauti sikuwa na jinsi.Lakini niliongea na mzazi mwenzangu akanielewa lakini nikimaliza hapa show nitaenda Uganda kwa sababu ya mazishi na baada ya hapo ndio nitarudi nyumbani,” amesema Diamond

No comments

Powered by Blogger.